Barazani pa Mungu ni wapi? Kama tunavyosoma katika Yeremia 23:18?

Jibu: Tusome, Yeremia 23:18 “Maana, ni nani aliyesimama katika baraza la Bwana, hata akalifahamu neno lake na kulisikia? Ni nani aliyelitia moyoni neno langu, na kulisikia” Ili tuweze kuelewa vizuri,  hebu tuendelee kidogo kusoma hadi mstari wa 22 “19 Tazama, tufani ya Bwana, yaani, ghadhabu yake, imetokea; ni dhoruba ya kisulisuli; itapasuka, na kuwaangukia waovu … Continue reading Barazani pa Mungu ni wapi? Kama tunavyosoma katika Yeremia 23:18?