Tofauti kati ya uchafu wa mwilini na rohoni ni  ipi?

SWALI: Naomba kujua tofauti kati ya uchafu wa mwilini na rohoni ni  ipi ?, kama tunavyosoma katika 2Wakorintho  7:1 2Wakorintho 7:1 “Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na UCHAFU WOTE WA MWILI NA ROHO, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu”. JIBU: Ili tuwe wakamilifu kwa kiwango cha  kuweza kuzikaribia … Continue reading Tofauti kati ya uchafu wa mwilini na rohoni ni  ipi?