Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu katika kuyatafakari maandiko. Je! Umewahi kujiuliza kwanini biblia inasema upendo una nguvu kama mauti?. Wimbo ulio bora 8:6 “Nitie kama muhuri moyoni mwako, Kama muhuri juu ya mkono wako; Kwa maana UPENDO UNA NGUVU KAMA MAUTI, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa … Continue reading NGUVU YA UPENDO WA KRISTO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed