BASI, IWENI NA HURUMA, KAMA BABA YENU ALIVYO NA HURUMA(Luka 6:36)

Huruma ni nguzo muhimu sana ambayo tunapaswa tuwe nayo sisi tuliompokea Kristo maishani mwetu. Ni kwanini tuwe na huruma? Ni kwasababu Baba yetu naye ni mtu mwenye huruma. Luka 6:36 “Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma”. Lakini wengi wetu bado hatujafahamu vema huruma hasaa ni nini. Kuna tofauti kati ya huruma … Continue reading BASI, IWENI NA HURUMA, KAMA BABA YENU ALIVYO NA HURUMA(Luka 6:36)