FUNGUO WALIZOKUWA NAZO MABINTI WATANO WA SELOFEHADI!

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo litukuzwe daima, karibu katika kuyatafakari maandiko. Katika biblia tunasoma Kisa cha mabinti wa tano wa mtu mmoja, wa kabila la Manase, waliokuwa mashujaa katika Imani, hata kuibadilisha taratibu ambazo zilikuwepo. Zamani wakati wana wa Israeli wanatoka Misri, kuelekea Kaanani. Mungu alimpa Musa maagizo ya kuigawanya hiyo nchi watakayoiendea.. Kwamba … Continue reading FUNGUO WALIZOKUWA NAZO MABINTI WATANO WA SELOFEHADI!