Ni kweli Paulo alipuuzia maonyo aliyopewa ya kwenda Yerusalemu?

SWALI: Je Ni kweli Mtume Paulo alipuuzia, maonyo aliyoonyeshwa na Roho Mtakatifu kwa kinywa cha Agabo juu ya kwenda  Yerusalemu? JIBU: Tusome habari yenyewe kwa faida ya watu wote; Matendo 21:10 “Basi tulipokuwa tukikaa huko siku nyingi, nabii mmoja jina lake Agabo akashuka kutoka Uyahudi. 11 Alipotufikia akautwaa mshipi wa Paulo, akajifunga miguu na mikono, … Continue reading Ni kweli Paulo alipuuzia maonyo aliyopewa ya kwenda Yerusalemu?