Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote.

SWALI: Kwanini Bwana Yesu alisema watu wa kizazi kile wamefanana na watoto walioketi masokoni na kuitana,? Mfano huo unaelewekaje? Na pia alikuwa na maana gani kusema maneno haya? Luka 7:35 “Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote” JIBU: Habari hizo utazisoma katika sehemu kuu mbili, ya kwanza ni Mathayo 11:16-20 na ya … Continue reading Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote.