KU WAPI, EWE MAUTI, KUSHINDA KWAKO?

Ipo siku moja mauti itashindwa kabisa kabisa… Siku moja tutavikwa miili mipya ya utukufu!, katika siku hiyo, parapanda ya Mungu italia, na wote tuliomwamini Yesu, tulio hai..kama hatutakufa mpaka siku ile ya kurudi kwake, basi tutamwona Bwana akitokea mawinguni, na kisha wafu waliopo makaburini nao pia wataisikia sauti ya parapanda, na wao pia watafufuka. Katika … Continue reading KU WAPI, EWE MAUTI, KUSHINDA KWAKO?