NI LIPI KATI YA MAKUNDI HAYA, WEWE UPO?

Ikiwa Bwana Yesu atarudi leo, atakutana na makundi matatu ya watu wanaomsubiria yeye. Kundi la kwanza ni kundi la HENOKO, kundi la pili ni kundi la NUHU, Na kundi la tatu ni kundi la LUTU. Sasa ni vizuri ukafahamu wewe upo katika kundi lipi, kuanzia sasa, kabla ya wakati huo kufika. Kwasababu wakristo wengi wanadhani … Continue reading NI LIPI KATI YA MAKUNDI HAYA, WEWE UPO?