Kwanini Paulo, alihukumu wakati hukumu hairuhusiwi?
SWALI: Tukisoma katika Kitabu cha 1 Wakorintho Sura ile ya Tano, Tunaona Mtume Paulo Akizungumzia Habari Ya kutengwa Kwa Watu wenye kulichafua kanisa la Mungu,… sasa tukija katika Mstari wa 3, alisema hivi.. “ Kwa maana kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, mimi mwenyewe nimekwisha KUMHUKUMU yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo”. … Continue reading Kwanini Paulo, alihukumu wakati hukumu hairuhusiwi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed