Biblia inamaanisha nini inaposema “Mwenye haki huufikiri uhai wa mnyama wake”?
Mithali 12:10 “Mwenye haki huufikiri uhai wa mnyama wake; Bali huruma za mtu mwovu ni ukatili”. JIBU: Hapa ni Mungu alikuwa anaonyesha tabia za mtu mwenye haki jinsi zilivyo kwamba huruma zake haziishi tu kwa wanadamu wenzake, bali pia zitadhihirika mpaka na kwa wanyama. Kama vile Mungu sasa anavyowajali wanyama wake, kiasi kwamba hakuna hata … Continue reading Biblia inamaanisha nini inaposema “Mwenye haki huufikiri uhai wa mnyama wake”?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed