Nini maana ya “Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi”?
SWALI: Biblia inamaanisha nini inaposema “Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi”? JIBU: Tusome Mithali 22:1 “Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu”. Inaposema kuchagua jina jema, inamaanisha Sifa njema, kwamfano labda kwenye jamii utasikia watu wanasema mtu Fulani ni mkarimu, au fulani ana upendo, au yule ana utu, … Continue reading Nini maana ya “Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi”?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed