KWANINI MITUME WAMUULIZE BWANA FARAGHANI?

Yapo mambo mengi ambayo, mitume waliyasikia yakizungumzwa na Bwana, na wakati huo huo wakamuuliza maana yake na wakapewa majibu yake,. Lakini yapo majira ambayo walipoyasikia maneno ya Bwana, hawakuwa na haraka ya kuuliza maswali yao muda huo huo, Bali walimtafuta Bwana faraghani(yaani akiwa peke yake) katika utulivu, ndipo wakawasilisha maswali yao. Unaweza kujiuliza ni kwanini … Continue reading KWANINI MITUME WAMUULIZE BWANA FARAGHANI?