Ni kwa namna gani malaika wa mbinguni wanaweza kutuhubiria sisi injili?
SWALI: Naomba kufahamu Wagalatia 1:8 ina maana gani? Ni kwa namna gani malaika wa mbinguni wanaweza kutuhubiria sisi? JIBU: Tusome, Wagalatia 1:8 “Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe”. Ni vizuri tukafahamu kwanza ni kwanini mtume Paulo alisema kauli kama hiyo. Alisema hivyo kutokana na … Continue reading Ni kwa namna gani malaika wa mbinguni wanaweza kutuhubiria sisi injili?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed