Kwanini wakristo walipomuona Petro akigonga walisema “Ni malaika wake”?

SWALI: Kwanini wakristo wa kwanza waliposikia kuwa Petro kafunguliwa hawakuamini badala yake walitumia neno “Ni malaika wake”..kwanini wawaze vile au waseme vile? JIBU: Tusome. Matendo ya Mitume 12:11-17 [11]Hata Petro alipopata fahamu akasema, Sasa nimejua yakini ya kuwa Bwana amempeleka malaika wake na kunitoa katika mkono wa Herode na katika kutazamia kote kwa taifa la … Continue reading Kwanini wakristo walipomuona Petro akigonga walisema “Ni malaika wake”?