Kwanini Raheli aliiba miungu ya Baba yake, (Labani) Mwanzo 31:19.

Ni kwanini Raheli afanye vile, ilihali Mungu alikataza ibada za sanamu?. Jibu: Tusome, Mwanzo 31:18 “Akachukua wanyama wake wote, na mali yake yote aliyo