LEO WOKOVU UMEFIKA NYUMBANI HUMU

Je! Wokovu umekufikia? Wengi wanasema wamepata wokovu lakini kiuhalisia wokovu bado haujawafikia. Leo napenda tujifunze juu ya viashiria vinavyorhibitisha kuwa wokovu umetufikia, au umefika nyumbani kwetu. Tusome habari za mtu mmoja aliyeitwa Zakayo, ambaye kupitia yeye tutajua kama wokovu na sisi umefika nyumbani kwetu au la! Luka 19:1-10 “1 Naye alipoingia Yeriko alipita katikati yake. … Continue reading LEO WOKOVU UMEFIKA NYUMBANI HUMU