REKEBISHA YAFUATAYO ILI UCHUMI WAKO UKAE SAWA.

Jina la Bwana Yesu libarikiwe, karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu. Leo tutajifunza, mambo Matatu ambayo, kama Mkristo ukiyarekebisha hayo basi uchumi wako utaimarika zaidi. 1. KUWA MWAMINIFU KWA MUNGU WAKO. Dawa ya kwanza ya mafanikio yoyote yale, yawe ya kimwili au kiroho, ni kuwa MWAMINIFU KWA BWANA. Mithali 3:7 “ Usiwe mwenye hekima … Continue reading REKEBISHA YAFUATAYO ILI UCHUMI WAKO UKAE SAWA.