UMEDI NA UAJEMI ZILITAWALAJE?

Katika biblia tunaona kama Umedi na Uajemi zikitajwa kwa pamoja, kana kwamba ni Taifa moja, ingawa ni falme mbili tofauti, sasa zilitawalaje? Umedi na Uajemi Ni utawala mmoja ulioundwa na Falme mbili tofauti, Ili kuelewa vizuri tuchukue mfano wa Taifa la Tanzania, Taifa la Tanzania limeundwa na mataifa mawili, Zanzibar na Tanganyika, Na yalipoungana ndio … Continue reading UMEDI NA UAJEMI ZILITAWALAJE?