Kama Bwana anawajua walio wake tangu asili kwanini tunahubiri injili? (Warumi 8:29).
Jibu: Tusome, Warumi 8:29 “Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi. 30 Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza”. Ni kweli maandiko hapo yanasema Bwana anawajua … Continue reading Kama Bwana anawajua walio wake tangu asili kwanini tunahubiri injili? (Warumi 8:29).
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed