JINSI MUNGU ATAKAVYOTOA THAWABU ZAKE, NA VIGEZO ATAKAVYOTUMIA. (Sehemu ya 4)

Nakusalimu katika jina kuu sana  la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu katika kujifunza Neno la Bwana. Bado tupo katika mwendelezo wa thawabu mbalimbali za Mungu, na vigezo anavyovitumia kuzitoa. Hii sehemu ya 4. 4) Zipo thawabu kwa wanaowasadia  maskini na wasiojiweza. Bwana Yesu alimwambia yule Farisayo Tajiri aliyemwalika katika karamu yake maneno haya; Luka 14:12 … Continue reading JINSI MUNGU ATAKAVYOTOA THAWABU ZAKE, NA VIGEZO ATAKAVYOTUMIA. (Sehemu ya 4)