EZEKIELI, ITABIRIE MIFUPA MIKAVU.

Je! Ule Unabii wa mifupa mikavu una maana gani kwetu? Ezekieli alionyeshwa maono,ambayo yalimshangaza sana, maono yenyewe yalihusu mifupa ya watu ambao walionekana kama walishakufa  kipindi kirefu sana nyuma, na inavyoelekea yalikuwa ni mauaji ya halaiki, (watu wengi waliouawa kwa wakati mmoja).Kwasababu mifupa hiyo ilikuwa mingi sana katika bonde kavu. Hivyo alipopitishwa kwenye bonde hilo, … Continue reading EZEKIELI, ITABIRIE MIFUPA MIKAVU.