NINI MAANA YA KUTUBU

Tofauti na inavyodhaniwa na wengi kuwa kutubu ni kuomba msamaha, lakini kiuhalisia kuomba msamaha kunakuja baada ya kutubu. Kutubu maana yake ni “Kugeuka” yaani kuacha kile ulichokuwa unakifanya. Maana yake unapojigundua kuwa wewe ni mkosaji, jambo la kwanza ni “Kuacha kile ulichokuwa unakifanya” kisichokuwa sawa. Kisha ndipo unakwenda kuomba msamaha. Hakuna mtu anayekwenda kuomba msamahaka … Continue reading NINI MAANA YA KUTUBU