Biblia inamaana gani inaposema “Wewe uchukiaye sanamu, wateka mahekalu?”

SWALI: Naomba kufahamu Bibliainaposema “Wewe uchukiaye sanamu, wateka mahekalu?” inamaana gani? Kuteka mahekalu ndio kukoje? Warumi 2:21 “basi wewe umfundishaye mwingine, je! Hujifundishi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, waiba mwenyewe? 22 Wewe usemaye kwamba mtu asizini, wazini mwenyewe? Wewe uchukiaye sanamu, wateka mahekalu? JIBU: Maneno hayo aliyasema mtume Paulo kwa uweza wa Roho Mtakatifu, … Continue reading Biblia inamaana gani inaposema “Wewe uchukiaye sanamu, wateka mahekalu?”