ADHABU KALI KUTOKA KWA MUNGU, ITAMPATA MTU WA NAMNA GANI?

Mithali 15:10a “Adhabu kali ina yeye aiachaye njia;..”. Mapigo ya Mungu yanatofautiana na mtu na mtu.. Tofauti na tunavyodhani kuwa muuaji ndiye atakayeadhibiwa sana siku ile kuliko mtu aliyeuacha wokovu. Jibu la la! Maandiko yanatuambia, “Adhabu kali ina yeye aiachaye njia”, hasemi tu ‘adhabu’ ina yeye aichaye njia, hapana, bali adhabu KALI.. Bwana Yesu alirudia … Continue reading ADHABU KALI KUTOKA KWA MUNGU, ITAMPATA MTU WA NAMNA GANI?