FANYA BIDII ZOTE ULE MATUNDA YA UZIMA.
Mwanzo 2:9 [9]BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Unaweza kujiuliza kulikuwa na sababu gani Mungu kuuweka mti wa ujuzi wa mema na mabaya pale bustanini wakati alikuwa anajua kabisa una kifo ndani … Continue reading FANYA BIDII ZOTE ULE MATUNDA YA UZIMA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed