Mjoli ni nini/ ni nani katika biblia?
Mjoli ni mfanyakazi-mwenza, Ni mtu unayefanya naye kazi moja inayofanana.. Kwamfano kama wewe ni mwalimu, ukakutana na mwalimu mwenzako huyo ni mjoli wako…Kama wewe ni mhubiri ukakutana na mhubiri mwenzako huyo ni mjoli wako, kama wewe ni mkulima ukakutana na mkulima mwenzako huyo ni mjoli wako.. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi kwenye biblia.. Mathayo … Continue reading Mjoli ni nini/ ni nani katika biblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed