FUNDISHO KUU LA NEEMA YA MUNGU KWETU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia, chakula cha uzima wa roho zetu. Maandiko yanasema kuwa tunaokolewa kwa Neema na si kwa matendo, Waefeso 2:8 “Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; 9 wala si kwa matendo, mtu awaye yote … Continue reading FUNDISHO KUU LA NEEMA YA MUNGU KWETU.