JINSI YA KUUHARIBU UJANA WAKO.

Hizi  ni baadhi ya njia zitakazokusaidia kuuharibu ujana wako kwa wepesi. Pendelea makundi yasiyojenga. Wahuni ni ndio wawe marafiki zako, wazinzi ndio wawe kampani yako, walevi ndio wawe watu wa kukupa raha, wanawake wasengenyaji ndio wawe wajoli wako, njia hii ukiitumia vizuri itakufanikisha haraka sana kwenye malengo yako. Huna haja ya kukaa na vijana  wenye … Continue reading JINSI YA KUUHARIBU UJANA WAKO.