Walakini ataokolewa kwa uzazi wake.
SWALI: Biblia inaposema mwanamke ataokolewa kwa uzazi wake, inamaanisha nini? 1Timotheo 2:14 “Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. 15 Walakini ataokolewa kwa uzazi wake, kama wakidumu katika imani na upendo na utakaso, pamoja na moyo wa kiasi”. JIBU: Tofauti na inavyotafsiriwa na watu wengi, kwamba andiko hilo linamaanisha kuwa … Continue reading Walakini ataokolewa kwa uzazi wake.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed