HUJAPEWA MBAWA ZA KUKIMBIA MATATIZO

Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa,
Ningerukia mbali na kustarehe.
Ningekwenda zangu mbali, 
Ningetua jangwani.
Ningefanya haraka kuzikimbia
Dhoruba