Ninawi ni wapi? Ninawi ni mji uliokuwepo kaskazini mwa Taifa la Iraq kwasasa. Mji huu kwasasa haupo, ila mahali pale ulipokuwepo mpaka leo pako!. Na mji huu ndio uliokuwa mji mkuu wa Taifa la Ashuru. (Kujua Taifa la Ashuru ni wapi kwasasa fungua hapa> ASHURU). Mji wa Ninawi ndio Mji Nabii Yona aliagizwa na Mungu … Continue reading Ninawi ni nchi gani kwasasa?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed