USICHELEWE KUMPAKA BWANA MARHAMU!
Jina la Bwana, Yesu libarikiwe. Kuna tofauti ya Marhamu na Manukato, kujua tofauti yake fungua hapa >> Marhamu na manukato ni nini?. Lakini kwaufupi ni kwamba Marhamu ni pafyumu. Sasa maandalio ya wayahudi kabla ya kuzika, ilikuwa ni desturi ya kumpaka maiti Marhamu kichwani, kisha Manukato yanafungiwa katika sehemu nyingine ya mwili. Na manukato hayakuwa … Continue reading USICHELEWE KUMPAKA BWANA MARHAMU!
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed