Wayebusi walikuwa ni watu gani?

Wayebusi walikuwa ni “wana wa Kaanani”. Kujua Wakaana walikuwa ni watu gani unaweza kufungua hapa >> Wakaanani. Lakini Watoto wa Kaanani ndio walikuwa hawa “Wayebusi”. Hivyo Wayebusi hawakuwa kabila kubwa, ukilinganisha na Kaanani, baba yao, na waliishi katika sehemu ndogo tu ya nchi ya Kaanani. Mwanzo 10:15 “Kanaani akamzaa Sidoni, mwanawe wa kwanza, na Hethi, … Continue reading Wayebusi walikuwa ni watu gani?