Sadaka ya kinywaji ilikuwaje? Na inawakilisha nini?.
Katika biblia (Agano la kale), kimiminika kilichokuwa kinatolewa sadaka ni “Divai” na si kitu kingine, Walawi 23:13 “Na sadaka yake ya unga itakuwa sehemu za kumi mbili za efa za unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, ni kafara iliyosongezwa kwa Bwana kwa moto kuwa harufu ya kupendeza; na SADAKA YAKE YA KINYWAJI ITAKUWA NI DIVAI, robo … Continue reading Sadaka ya kinywaji ilikuwaje? Na inawakilisha nini?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed