NIMEYATUNZA MANENO YA KINYWA CHAKE ZAIDI YA RIZIKI YANGU.
Ayubu 23:12 “ [12]Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu”, Huyu ni Ayubu, …si ajabu kwanini Mungu alimwona ni mtu mkamilifu aliyemcha Mungu, kuliko watu wote waliokuwa ulimwenguni wakati ule. Kitendo cha kuyatunza maneno ya Mungu zaidi ya riziki..si jambo dogo, ni kumaanisha kwa hali ya juu … Continue reading NIMEYATUNZA MANENO YA KINYWA CHAKE ZAIDI YA RIZIKI YANGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed