Utawanyiko wa Wayunani ulikuwaje?

Utawanyiko wa Wayunani unaozungumziwa katika Yohana 7:35 ulikuwaje? Jibu: Tuanzie kusoma mstari wa 31, ili tupate maana kamili.. Yohana 7:31 “Na watu wengi katika mkutano wakamwamini; wakasema, Atakapokuja Kristo, je! Atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu? 32  Mafarisayo wakawasikia mkutano wakinung’unika hivi juu yake; basi wakuu wa makuhani na Mafarisayo wakatuma watumishi ili … Continue reading Utawanyiko wa Wayunani ulikuwaje?