Mtu asiye na akili ni nani kibiblia?
Kwa tafsiri za kidunia mtu asiye na akili ni mtu ambaye hawezi kufiriki, kuelewa, kuwasiliana, kupanga au kutatua matatizo. Hivyo, mwanadamu mwenye mtindio wa ubongo, anajulikana kama hana akili, mtu anayefeli darasani, anajulikana kama hana akili, mtu anayeshindwa na wenzake katika maisha anajulikana pia kama asiye na akili. Lakini je! Biblia nayo inasemaje kuhusiana na … Continue reading Mtu asiye na akili ni nani kibiblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed