Amali, na kila kazi ya ustadi, inatokana na mtu kupingana na mwenzake.
SWALI: Naomba kufahamu mstari huu unamaana gani? Mhubiri 4:4 “Tena nikafikiri amali zote, na kila kazi ya ustadi, ya kwamba inatoka katika mtu kupingana na mwenzake. Hayo nayo ni ubatili na kujilisha upepo”. JIBU: Sulemani ni mtu ambaye alipewa na Mungu uwezo wa kutambua hekima ya mambo yote yanayotendeka huku duniani.. Na moja ya jambo … Continue reading Amali, na kila kazi ya ustadi, inatokana na mtu kupingana na mwenzake.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed