Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.

SWALI: Huu mstari una maana gani? Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana”. JIBU: Mstari huo unatupa picha kuwa, kumbe vipo vitu vya kurithishwa, lakini pia kuna vitu ambavyo hatuvipati kwa kurithishwa.. Kwamfano, hapo anasema mali; kama nyumba, magari, kazi, hivi vitu mtu … Continue reading Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.