Je huduma za mitume na manabii, zinaendelea kufanya kazi hadi sasa?

SWALI: Je huduma za mitume na manabii, zinaendelea kufanya kazi hadi sasa? Kwani kunaendelea mabishano baina ya wakristo baadhi, wengine wanasema kwasasa huduma hizo hazitendi kazi tena kufuatana na andiko la Paulo katika Waefeso 2:20 linalosema;  [20]Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. …Lakini wengine … Continue reading Je huduma za mitume na manabii, zinaendelea kufanya kazi hadi sasa?