Miungu wasio na kikao pamoja na wenye mwili.
SWALI: Wale wachawi walikuwa na maana gani waliposema..”Miungu wasio na kikao pamoja na wenye mwili”?. Danieli 2:11 [11]Ni neno la ajabu, hili analolitaka mfalme, wala hapana mwingine awezaye kumwonyesha mfalme neno hilo, ila miungu, wasio na kikao pamoja na wenye mwili. JIBU: Hiyo ni baada ya Mfalme Nebukadneza kutoa mtihani mzito wa kukumbushwa na kupewa … Continue reading Miungu wasio na kikao pamoja na wenye mwili.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed