HAUWEZI KURUKA MADARASA YA MUNGU!
Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujinze biblia, Neno la Mungu wetu. Yapo mambo ambayo watu wa Mungu wanatamani kuyapata au kuyafanya kwa muda waliopanga wao, lakini pasipo kujua pia upo muda wa Mungu wa kuruhusu mtu wake apate anachokitaka au afanye analolitamani. Ni muhimu sana kujua hilo. Kikawaida pale tunapokuwa … Continue reading HAUWEZI KURUKA MADARASA YA MUNGU!
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed