USIZISHIRIKI DHAMBI ZA WATU WENGINE.
1Timotheo 5:22 “Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usizishiriki dhambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi”. Hapa tunaona mtume Paulo, anampa Timotheo maagizo ya namna ya kuwa kiongozi bora (Askofu bora) wa makanisa ya Mungu. Utaona anampa maagizo ya utaratibu wa kuwaandika wajane, kwamba ahakikishe wanaoandikwa ni wale walio wajane kweli kweli. (soma … Continue reading USIZISHIRIKI DHAMBI ZA WATU WENGINE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed