INJILI NI UWEZA WA MUNGU, UULETAO WOKOVU.

Tukiijua nguvu Mungu aliyoiweka katika injili, basi tutakwenda kuihubiri kwa bidii zote. Wengi wetu tunasubiri tufikie kimo Fulani cha maarifa ndipo tukahubiri, wengine tunasubiri tupate upako Fulani au uweza Fulani ushukao juu ndipo tukahubiri.. wengine tunangoja unabii na maono au sauti utuambie tukahubiri ndipo tukaianze kazi hiyo… Wengine tunasubiri tupitia kwanza madarasa fulani ya theolojia … Continue reading INJILI NI UWEZA WA MUNGU, UULETAO WOKOVU.