USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU UKAE NANYI NYOTE.

Je! Unataka Roho Mtakatifu afanye kazi vizuri ndani yako? Fuatilia somo hili. Maandiko yanasema.. 2Wakorintho 13:14  “Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote” Unaweza kujiuliza ni kwanini, ofisi hizo kuu tatu za Mungu, zitajwe na sifa zao? Na si zenyewe tu kama zilivyo, (yaani Mungu, … Continue reading USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU UKAE NANYI NYOTE.