Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako.
SWALI: Mstari huu una maana gani? Mithali 27:10 “Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako, Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako. Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali” JIBU: Ni mstari unaolenga umuhimu wa marafiki wema katika maisha yetu. Hapo anaanza kwa kusema usimwache rafiki yako mwenyewe, lakini … Continue reading Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed