KAMA MTUMISHI WA MUNGU, TAFUTA MAARIFA KWA BIDII.
Huu ni mfululizo wa Masomo maalumu kwa Watumishi wa Mungu (Wahubiri wa Injili, Wachungaji, Wainjilisti, Waalimu, Manabii na Waimbaji wote). Hosea 4:6 “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako”. Tunaona hapa … Continue reading KAMA MTUMISHI WA MUNGU, TAFUTA MAARIFA KWA BIDII.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed