TABIA ZA NJIA YA MUNGU KWA MKRISTO
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Biblia inatuambia Yesu ndiye njia na kweli na uzima. (Yohana 14:6) Ni kweli wakristo wengi tunamtambua yeye kama njia, lakini hatujui tabia ya hii njia kwa undani jinsi ilivyo kwetu sisi wakristo. Tofauti na hizi njia tuzijuazo, kwamfano ukitaka kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro, ni rahisi … Continue reading TABIA ZA NJIA YA MUNGU KWA MKRISTO
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed