Kuguguna maana yake nini? (Ayubu 30:3 )
Neno “kuguguna” linapatikana mara moja tu katika kitabu cha Ayubu 30:3 na maana yake ni “kutafuna” Ayubu 30: 2 “Naam, uwezo wa mikono yao utanifaa nini? Watu ambao nguvu zao zimekoma. 3 Wamekonda kwa uhitaji na njaa; HUGUGUNA NCHI KAVU, penye giza la ukiwa na uharibifu” Hapa maandiko yanalizungumzia kundi la watu ambao ni maskini, … Continue reading Kuguguna maana yake nini? (Ayubu 30:3 )
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed